Barua pepe: info@dereva.co.tz

Washirika Wetu

Kutana na wabia na wadau wetu muhimu wanaowezesha mfumo huu kufanya kazi kwa ufanisi.

NMB Bank

NMB Bank

Masuala ya Kibenki

Benki ya NMB inashughulikia masuala yote ya kibenki, kuwezesha malipo salama na ya uhakika ndani ya mfumo kwa madereva na wamiliki.

LATRA

LATRA

Masuala ya Usafirishaji

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inashughulikia udhibiti wa usafirishaji na kuhakikisha sheria na kanuni zote zinafuatwa ipasavyo.

Polisi Tanzania

Polisi Tanzania

Sheria za Usalama Barabarani

Jeshi la Polisi Tanzania, kupitia kikosi cha usalama barabarani, linasimamia sheria za udereva na usalama barabarani kwa ujumla wake.

TAMSTOA

TAMSTOA

Wawezeshaji wa Mfumo

Chama cha Wamiliki wa Malori (TAMSTOA) ndio wawezeshaji wakuu wa mfumo, kuhakikisha madereva wanapata fursa na kusimamia haki na wajibu wao.

Reliance Solutions

Reliance Solutions

Wasanidi wa Mfumo

Kampuni ya Reliance Solutions ndio wasanidi na watengenezaji wa mfumo huu wa kiteknolojia, wakihakikisha usalama, ubora, na ufanisi wa mifumo yote.